Ujenzi wa Choo Shule ya Sekondari Sanzate

Shule ya Sekondari Sanzate inaendelea na ujenzi wa choo cha matundu 8, Ujenzi wa choo uko hatua ya boma. Nia yetu ICDT ni kuunga mkono juhudi za wananchi na serikali katika ujenzi wa choo hicho ili kiweze kukidhi mahitaji ya makundi mbalimbali ukiwemo walemavu na wasichana. Ili kufikia nia yetu tunahitaji kukusanya kiasi cha Tsh. 3,000,000.  Hii ni fursa azimu kwa mdau yoyote kushirikiana nasi kufanikisha ujenzi huo kabla ya mwezi Januari, 2023. 

Comments

  1. Hii ni habari njema na inatia moyo

    ReplyDelete
  2. Hakika ni habari njema na mm nasema hakika kwa pamoja tunaweza sanzate ni yetu ikizu yakwetu

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

ICDT yachangia Milioni Kumi Ujenzi wa Shule