Posts

Featured post

Ujenzi wa Choo Shule ya Sekondari Sanzate

Image
Shule ya Sekondari Sanzate inaendelea na ujenzi wa choo cha matundu 8, Ujenzi wa choo uko hatua ya boma. Nia yetu ICDT ni kuunga mkono juhudi za wananchi na serikali katika ujenzi wa choo hicho ili kiweze kukidhi mahitaji ya makundi mbalimbali ukiwemo walemavu na wasichana. Ili kufikia nia yetu tunahitaji kukusanya kiasi cha Tsh. 3,000,000.  Hii ni fursa azimu kwa mdau yoyote kushirikiana nasi kufanikisha ujenzi huo kabla ya mwezi Januari, 2023. 

Maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari Sanzate

Image
ICDT ilichangia kiasi cha Milioni kumi katika Ujenzi wa Shule ya Sekondari Sanzate. Ujenzi huo ulijumuisha Ujenzi waadarasa 4 na Ofisi ya Waalim. ICDT inaridhishwa ana maendeleo ya Majengo. Picha mbalimbali za maendeleo ya Ujenzi.

ICDT yachangia Milioni Kumi Ujenzi wa Shule

Image
Mwenyekiti wa ICDT  ndugu JUMA  MAKONGORO  akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Wilaya ya Bunda  kuwakabidhi fedha  milioni kumi ikiwa ni mchango wa wana ICDT kuwezesha ujenzi wa  Shule ya Sekondari ya Sanzate.Machango huo katika sekta ya elimu unalenga ili kupunguza umbali wa kwenda shule kwa watoto wa eneo ambao  husafiri umbali mrefu kwenda shule za jirani. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Bunda ndugu Changwa Mkwazu  ametoa shukrani lwa ICDT kwa mchango. Mkurugezi Mtendaji alikabidhi fedha hizo kwa bodi ya shule ili ujenzi huu uanze mara moja, kwa niamba ya Bodi ya Shule ua Sanzate Mwenyekiti ndugu Mkaka Katani alipokea fedha hizo.

Watoto wadogo wafika kileleni mwa Mlima Chamriho

Zambere  Nelson Gutti  miongoni mwa watoto wadogo waliyo panda na kkufika kileleni         cha NYAMKWELELI  

KAM MDAU WA IKIZU CDT

Image
 Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya ikizu na nje  ikizu wakipima afya zao  huduma hiyo imetolewa na kituo cha afya cha ikizu wilayani Bunda na KAM MUSIKA HOSPITAL  kutoka Kimara D ar-es -salama.

Hutuba Ya Mkuu wa Wilaya ya Bunda

Image
  Credit Ngocho TV

Juma Makongoro Kuanzishwa Kwa Ikizu CDT

Image
 credit  Ngocho TV