Kizenge cha Waikizu
Kihenga kwa kikizu huitwa EKETALA hiki hutengenezwa kwa malengo ya kuifadhia mazao ya chakula kama ulezi, karanga, mtama, nk.
Huezekwa kwa nyasi EKESALA. Kihenga kiliaminiwa, sana na Mwl.Nyerere kuwa ndiyo njia bora zaidi ya kuifadhia mazao. Hadi hivi leo vime baki hapo kwa Mwl, kama maonyesho ya kihistoria. Ambapo vilitengenezwa na wazee maalumu wa kabila la Waikizu.
Comments
Post a Comment